Shule ya Ida Rieu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta

Shule ya Ida Rieu ni shule ya vipofu na viziwi iliyoanzishwa mwaka 1922 huko Karachi, Pakistani.[1]

Jina la shule limetokana na Ida Augusta Rieu, mke wa kamishna wa Sindh, J. L. Rieu. [2]

  1. Hesketh. M., Report on Public Instruction in the Bombay Presidency for the Year 1923–24. Bombay: Central Govt Press. 1925. p. 91
  2. "Journal of the Pakistan Medical Association July 2007, Volume 57, Issue 7". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-14. Iliwekwa mnamo 2024-08-07.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shule ya Ida Rieu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.