Mikel Arteta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta
Mikel Arteta

Mikel Arteta Amatriain (alizaliwa 26 Machi 1982[1]) ni meneja wa klabu ya Arsenal ya Ligi ya Uingereza, na mchezaji wa zamani wa klabu hio.[2]

Arteta alianza maisha yake ya soka katika klabu ya Barcelona mwaka 1999 lakini kutokana na kupata muda mfupi wa kucheza ulipelekea kuhamia Paris Saint-Germain kwa mkopo mnamo 2001.


  1. "2015/16 Player Shirt Numbers | Barclays Premier League". web.archive.org. 2015-08-09. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-08-09. Iliwekwa mnamo 2024-09-23.
  2. "Mikel Arteta: Overview". Premier League. Iliwekwa mnamo 3 Desemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mikel Arteta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.