Kiagta cha Dicamay
Nenda kwa urambazaji
Nenda kwa kutafuta
Kiagta ya Dicamay ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waagta. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiagta ya Dicamay, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiagta ya Dicamay iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiagta ya Dicamay kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiagta ya Dicamay Archived 16 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiagta ya Dicamay katika Glottolog
- lugha ya Kiagta ya Dicamay kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiagta cha Dicamay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |