Ismail Jakobs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta
Jakobs akichezea timu ya taifa Senegal katika Africa Cup of Nations mnamo 2023

Ismail Jakobs (alizaliwa 17 Agosti 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Senegal, ambaye anacheza kama beki pia kama winga katika klabu ya AS Monaco na timu ya taifa ya Senegal.[2]

  1. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce4/pdf/SquadLists-English.pdf
  2. "Fix: Kölns Jakobs wechselt zur AS Monaco". kicker (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ismail Jakobs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.