Gamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta
Magamba ya samaki
Gamba la mti au gome

Gamba ni jalada la wanyama (k.m. samaki, mjusi n.k.) au mti (gome).