Francesco Ragonesi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta
Kardinali Francesco Ragonesi

Francesco Ragonesi S.T.D. J.U.D. (21 Desemba 185014 Septemba 1931) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki na alihudumu kama Mkuu wa Mahakama Kuu ya Apostolic Signatura.

Francesco Ragonesi alizaliwa Bagnaia, Viterbo, Italia. Alipata elimu yake katika seminari ya Viterbo, na kuanzia mwaka 1869 aliendelea katika Seminari ya Pio-Roma, na katika Chuo Kikuu cha Kipapa cha Roma S. Apollinare, ambako alipata shahada za udaktari katika falsafa, theolojia, na shahada ya udaktari wa utroque iuris (katika sheria za kanisa na sheria za kiraia.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.