Agripini wa Napoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta

Agripini wa Napoli (pia: Arpino; karne ya 2 - 233) anatajwa kama askofu wa sita wa mji huo wa Italia Kusini. Ni kati ya watu wa kwanza kuitwa katika nyaraka za zamani "Mlinzi wa mji" [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Novemba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. (Kiitalia) http://www.santiebeati.it/dettaglio/90317
  2. "Agrippinus of Naples B (RM) (also known as Arpinus)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-06. Iliwekwa mnamo 2020-11-08.
  3. Martyrologium Romanum
  • A. Rossi, Delle Dissertazioni intorno ad alcune materie alla città di Napoli, vol. 1, 1758, p. 405.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.