Malo Gusto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Malo Gusto (2022 akichezea Olympique Lyonnais)

Malo Arthur Gusto (alizaliwa Mei 19, 2003) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu anayeichezea timu ya Chelsea FC pamoja na timu ya taifa ya Ufaransa.

Malo Gusto anacheza nafasi ya mlinzi wa kulia, japo huwa anacheza kwa ufanisi nafasi ya mlinzi wa kushoto, kiungo wa kati na winga wa upande wa kulia au kushoto.

Kabla ya kujiunga na Chelsea mwaka 2023, Malo Gusto alichezea timu ya Olympique Lyonnais ya nchini Ufaransa.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Malo Gusto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.