Fungu la Kipepeo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 01:29, 21 Novemba 2023 na Kisare (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Picha ya Fungu la Kipepeo '''Fungu la Kipepeo''' ni fungunyota katika kundinyota ya Nge. Jina yake linatokana na kufanana kwa umbo lake na kipepeo. Aina ya Trumpler ya II 3 r inamaanisha kwamba lina nyota nyingi. Liko 3.5° kaskazini magharibi mwa Messier 7 na kaskazini mwa mkia wa Nge. {{mbegu-sayansi}}')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta
Picha ya Fungu la Kipepeo

Fungu la Kipepeo ni fungunyota katika kundinyota ya Nge. Jina yake linatokana na kufanana kwa umbo lake na kipepeo. Aina ya Trumpler ya II 3 r inamaanisha kwamba lina nyota nyingi. Liko 3.5° kaskazini magharibi mwa Messier 7 na kaskazini mwa mkia wa Nge.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fungu la Kipepeo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.