Kimiju-Mishmi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:51, 1 Juni 2023 na InternetArchiveBot (majadiliano | michango) (Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.4)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta

Kimiju-Mishmi (au Kimiju) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Uchina inayozungumzwa na Wamiju-Mishmi. Nchini Uchina lugha hujulikana kama Kikaman (pia Kigeman) au Kideng. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimiju-Mishmi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 18,000. Pia kuna wasemaji 200 nchini Uhcina (1999). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimiju-Mishmi iko katika kundi la Kimijish.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimiju-Mishmi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.