Dodoki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenda kwa urambazaji Nenda kwa kutafuta

Dodoki (jina la kisayansi la mmea wake ni "Luffa acutangula") ni tunda linalofanana na mung’unye na ambalo likikauka huwa na nyuzinyuzi na hutumika kujisugulia mwili wakati wa kuoga.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dodoki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.